KKKT MTWARA WAMJENGEA NYUMBA MZEE ALIYEKUWA AKIISHI MAISHA HATARISHI | APEWA KITANDA NA GODORO JIPYA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2025
  • Waumini wa kanisa la KKKT Usharika wa Mtwara mjini, kupitia huduma ya Diakonia, wamefanikisha kumjengea Nyumba Mzee aliyefahamika kwa jina la Hamisi Selemani Sefu, mkazi wa Kata ya Mitengo Manispaa ya Mtwara Mikindani mkoani Mtwara kwa kuwa alikuwa akiishi maisha magumu.
    Hayo yamejiri hivi karibuni kufuatia maisha ya mzee huyo, ambapo usharika huo pamoja na kumjengea nyumba mzee huyo, pia wamemkabidhi Kitanda na Godoro kwa kuwa hapo mwanzo alikuwa akitumia kitanda cha kambaa kilichochoka.
    SUBSCRIBE RUclips CHANNEL YA FAIDA ONLINE TV ILI KUPATA HABARI ZETU

Комментарии • 2

  • @kinyongamediatz
    @kinyongamediatz 3 дня назад

    Hongereni kwa utume mwema

  • @Osm90-m3j
    @Osm90-m3j 3 дня назад

    Hongerani sana Mungu awabariki wote